Mwongozo wa uongozi unaojali usawa, utu, na haki za binadamu badala ya unyonyaji.
Rasilimali mama inayopaswa kutumiwa kwa manufaa ya wote na si kugeuzwa bidhaa ya wachache. Kauli ya Baba wa Taifa J. K. Nyerere juu ya maendeleo
Ili maendeleo hayo ya watu yafikiwe, Mwalimu Nyerere aliorodhesha misingi mikubwa minne katika Azimio la Arusha (1967) na machapisho yake mengine: Mwongozo wa uongozi unaojali usawa, utu, na haki
Viongozi waadilifu wanaowajali na kuwasikiliza watu wanaowaongoza. 🐓 Uhusiano wa Uhuru na Maendeleo Mwongozo wa uongozi unaojali usawa